HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 17, 2013

Mdau Mahmoud Shoo na Leila (Jennifer) Kakolaki walivyomeremeta jijini dar

 Mdau Mahmoud Shoo na Mai Waifu wake,Leila (Jennifer) Kakolaki wakiwa na nyuso za bashasha na raha tele wakati wa tafrija yao ya kuwapongeza mara baada ya kumeremeta,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Shengeni,Mbezi Beach jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
  Maharusi Mahmoud Shoo na Mai Waifu wake,Leila (Jennifer) Kakolaki wakijadiliana jambo kwa furaha wakati wa tafrija yao ya kuwapongeza mara baada ya kumeremeta,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Shengeni,Mbezi Beach jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Wakipata kinywaji kwa namna yao.
Maharusi wakiwa na wapambe wao wakati wa tafrija yao ya kuwapongeza mara baada ya kumeremeta,iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Shengeni,Mbezi Beach jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
 Wakisakata dansi.
 Mdau Mahmoud akimvisha saa mke wake aliyomzawadia.
 Maharusi wakipita meza kwa meza kusabahiana na wageni waalikwa. 
 Bw. Harusi na Bestman wake wakiwa kwenye picha ya pamoja na Maswahiba zao.

 Baba wa Bi. Harusi akitoa nasaha zake.
 Burudani ya Ngoma ya asili ya Kinyarwanda.
 Ngoma ya Kabila la Kichaga. 
 Baba na Mwana wakiyarudi magoma ya kabila la Wahaya. 
 Wadau mbali mbali wakiwapongeza maharusi. 
  Zawadi.
  Shampein.
 Keki.
 "kula keki mamsap......"
 Bi. Harusi akikabidhi keki kwa Wakwe zake.
Bw. Harusi pia akikabidhi keki kwa wakwe zake.
Wakielekea kwenye Maakuli.
 Picha ya pamoja na Makaka na Madada.
 Mwenyekiti wa Kamati akitoa neno.
 Picha ya pamoja na Kamati.
 Mama wa Bw. Harusi (kulia) pamoja na Shagazi wa Bi. Harusi (kushoto).

2 comments:

  1. hongereni sana. imependeza sana . hongera pia aunt yangu wa ukweli julieth kakolaki it was amaizing. safi sana. mungu awaongoze wanandoa.

    ReplyDelete
  2. wamependezaje? wenye wivu wakameze chupa

    ReplyDelete

Post Bottom Ad