Mwendesha boda boda akinyanyuka mara baada ya kupiga mweleka kutokana na kuzidiwa na Mzigo aliokuwa ameupakia kwenye Boda boda yake hiyo.hali hiyo ilimfikia mdau huyu wakati akipandisha kwenye kimwinuko kilichopo katika eneo la Tabata Kinyerezi,jijini Dar es Salaam jana.
Mwendesha boda boda akijaribu kunyanyua pikipiki yake mara baada ya kupiga mweleka huo.
Mara wasamalia wema wakafika na kumsaidia kunyanyua pikipiki yake hiyo pamoja na Mizigo aliyokuwa amebeba.





No comments:
Post a Comment