Waumini wa Kiislam na Wadau mbali mbali wakishirikiana kubeba mwili wa Marehemu RanKeem Ramadhan wakati wa Safari yake ya Mwisho kuelekea kwenye makaburi ya Sinza, Jijini Dar es Salaam jioni hii.
Mwili wa Marehemu RanKeem Ramadhan ukifikishwa kwenye Nyumba yake ya Milele.
Wadau mbali mbali wakiwa kwenye Mazishi ya Marehemu RanKeem Ramadhan jioni hii kwenye Makaburi ya Sinza,jijini Dar es Salaam jioni hii.
No comments:
Post a Comment