HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, November 17, 2013

LIBENEKE JIPYA LA MAGARI TANZANIA

Hii ni blogu ya magari ambapo kutakuwa na list pamoja na picha za magari yanayouzwa hapa Tanzania na Mawasiliano ya wauzaji pamoja na bei. Lengo ni kukupa urahisi wa kupata kile ukitakacho kwa urahisi na unafuu tu na bure kabisa.
Pia Unaweza kututumia picha za magari unayouza au kuuza kupitia e-mail yetu hapo chini bure kabisa bila gharama yoyote na sisi tutaweka muda huo huo kupitia mtandao wetu huu wa Magari Tanzania.
Tutumie sasa Picha za magari unayouza na sisi tutakuwekea bure kabisa
Tutembelee Kupitia link hii http://magaritanzania.blogspot.com/
E-mail yetu ni magaritanzaniablog@gmail.com

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad