HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 15, 2013

GEPF KUANZA KUTEKELEZA SHERIA MPYA WALIOIPATA HIVI SASA

Mkurugenzi wa Masoko na Uendeshaji wa Mfuko wa Akiba ya Wafanyakazi Serikalini (GEPF),Bw Anselim Peter (kulia) akitoa maelezo kwa vyombo vya habari (havipo pichani) juu ya mwelekeo mpya wa Mfuko huo wa GEPF baada ya kupata sheria mpya hivi karibuni,Mkutano huo ulifanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari maelezo jijini Dar es salaam.Kushoto ni Meneja wa Masoko na huduma kwa Wateja Bw Aloyce Ntukamazina

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad