Mshauri wa Biashara wa Kimataifa wa Kujitegemea wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits LTD , James Rugemarila (katikati) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani wakati akitoa kauli kuhusu watu wanaouza Windhoek feki kujisalimisha polisi kabla sheria haijachukua mkondo wake. (wakwanza kushoto Mshauri wa Masula ya Usalama wa kampuni hiyo,anayefuatia ni mmoja wa wakugenzi wa kampuni hiyo,wapili kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabibo Beer, Benedictor Rugemarila na wa mwisho ni Mshauri wa Sheria wa kampuni hiyo, Respicius Didace.
James Rugemarila akiwaonyesha waandishi wa habari Windhoek isiyo na nembo ya Mabibo ya chupa ambayo inauzwa na watu wanayoijumu kampuni hiyo.
Waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Kampuni ya Mabibo wakiwa kwenye mkutano huo.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mabibo Beer, Benedictor Rugemarila akiwaonyesha waandishi wa habari Windhoek halisi inayosambazwa na kampuni ya Mabibo.

No comments:
Post a Comment