HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 23, 2013

UZINDUZI WA KAMPENI YA JAMAL MALINZI KUGOMBEA URAIS WA TFF NI HATAREEEEE.........

 Mgombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akizungumza na Waandishi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni zake za kuwania nafasi hiyo,iliyofanyika mchana huu kwenye Ukumbi wa Mikutano kwa Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam.
Vijana wa michezo wakishima Mipira kulingana na Umri wao.
 Mgombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akizungumza na Waandishi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni zake za kuwania nafasi hiyo,iliyofanyika mchana huu kwenye Ukumbi wa Mikutano kwa Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam.
Wajumbe wa vyama vya soka nchini Tanzania wakifuatilia uzinduzi wa kampeni.
Wanahabari na wadau mbali mbali wa Soka nchini wakiwa kwenye Mkutano huo.
Team Malinzi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad