Kamera ya Mtaa kwa Mtaa,imekatiza mtaa wa Garden Avenue mbele ya Jengo la Hoteli ya Zamani ya Embassy ambalo sasa limezungushiwa mabati na kukutana na Chemba hii ikiwa imefunikwa nusu mlingoti,ikimaanisha kwamba wenye kujua matumizi ya mifuniko ya Chemba hizi ndio washabeba.sasa jiulize nini kitafuata hapo??
Monday, October 14, 2013
Home
Unlabelled
MFUNIKO WA HAPA NDIO USHALAMBWA HIVYOOO...
MFUNIKO WA HAPA NDIO USHALAMBWA HIVYOOO...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



No comments:
Post a Comment