HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, October 13, 2013

kazi ni kazi mbaya kuiba tu....

Kufuatia ukosefu wa ajira, kijana huyu ambaye hakufahamika jina lake mara moja mkazi wa jijini Dare es Salaam ameamua kujiajiri kwa kazi ya kuuza chupa tupu za maji kama alivyokutwa na mpigapicha wetu leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad