Kocha wa
Timu ya Taifa, Denis Lungu (kulia) akiwaelekeza jambo wachezaji wa timu ya
Taifa ya mchezo wa Pool (Safari National Pool team) wakati wa mazoezi katika
kambi inayoendelea mkoani Morogoro ya mchujo wa kupata wachezaji 8 kati ya
15,watakaowakilisha Tanzania katika fainali za Afrika zinazotarajiwa kufanyika nchini
Malawi hivi karibuni.
Kocha,Denis akielekeza jamabo.
Kikosi cha
timu ya Taifa na baadhi ya viongozi.
Mchezaji,
Solomoni Eliasi kutoka mkoani Mbeya akifanya mazoezi.

No comments:
Post a Comment