HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 1, 2013

CASTLE LAGER NA FC BARCELONA ZAFANYA KWELI JIJINI ARUSHA

Meneja wa Bia ya Castle Lager, Kabula Nshimo,(mwenye suruali nyeupe) akiwaongoza wafanyakazi wa TBL katika maandamano maalumu ikiwa ni sehemu ya sherehe za Uzinduzi wa Udhamini wa Castle Lager kwa FC Barcelona kwa Mkoa wa Arusha.
Wafanyakazi wa TBL mkoani Arusha wakiwa katika maandamano maalumu ikiwa ni sehemu ya sherehe za Uzinduzi wa Udhamini wa Castle Lager kwa FC Barcelona kwa Mkoa wa Arusha.
Wafanyakazi wa TBL mkoani Arusha wakiwa katika maandamano maalumu ikiwa ni sehemu ya sherehe za Uzinduzi wa Udhamini wa Castle Lager kwa FC Barcelona kwa Mkoa wa Arusha.
Wafanyakazi wa TBL Arusha wakigonganisha chupa zao za Castle Lager kama njia ya kuzindua udhamini wa Castle Lager kwa FC Barcelona kwa Mkoa wa Arusha.
Wafanyakazi wa TBL wakifurahia mchezo wa mpira wa mezani maarufu kama ‘fuse ball’ wakati wa uzinduzi wa udhamini wa Castle Lager kw FC Barcelona.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad