Wajumbe wa Baraza la Katiba la Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe Mkoani Mbeya wakiwa katika mjadala wa pamoja wa kuijadili na kuitolea maoni Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika Wilayani humo tarehe 19. Agosti, 2013.
Mjumbe wa Baraza lam Katiba katika Halmshauri ya Wilaya ya Temeke, Mkoani Dar es Salaam, Bi. Bi Salama Masoud akichangia hoja kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika mkutano uliofanyika katika Halmshauri hiyo tarehe 21. Agosti, 2013.
Wajumbe
wa Baraza la Katiba katika Halmashauri ya Wilaya ya Kilindi Mkoani
Tanga wakipitia Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko
ya Katiba katika mkutano uliofanyika Wilayani humo tarehe 21. Agosti,
2013.
Mjumbe
wa Baraza la Katika katika Halmashauri ya Manispaa ya Dodoma Mkoani
Dodoma, Dkt. Bright Boniface Mmbaga akichangia akichangia hoja kuhusu
Rasimu ya Katiba Mpya iliyotolewa na Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika
mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Chuo cha Mipango mkoani humo
tarehe 13. Agosti, 2013.
Mjumbe
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Bi. Riziki Ngwali akimsikiliza mmoja
wa Mjumbe wa Baraza la Katiba katika Baraza la Mji wa Mkoani, Pemba
aliyetaka kupata ufafanuzi wa vipengele vilivyopo katika Rasimu ya
Katiba Mpya wakati wa mkutano uliofanyika Pemba tarehe 21. Agosti, 2013.

No comments:
Post a Comment