Mapokezi waliyofanyiwa benki ya FBME tawi la zanzibar baada ya kuwasili kisiwa kidogo cha Tumbatu zanzibar jana ambako benki hiyo ilitoa msaada wa sadaka ya chakula kwa wananchi wa kisiwa hicho.
Mfanyakazi wa benki ya FBME tawi la zanzibar, Abubakar saleh (kulia) akikabidhi sadaka ya chakula kwa bi mizaNyange huko Tumbatu jana. Msaada huo umetolewa na benki hiyo.
Mkurugenzi wa uendeshaji wa benki ya FBME, Nassor Dachi (kulia) akikabidhi sadaka yachakula kwa Bi Kazija Haji huko kisiwa cha Tumbatu Zanzibar jana.Picha na Martin kabemba

No comments:
Post a Comment