Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wa Zanzibar,Mh. Said Mbarouk (wa pili kulia) akikabidhi jezi kwa Kiongozi wa Timu ya KMKM,Said Mfaume (kushoto) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Timu mbali mbali zinazoshiriki Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar zinazotaji kuanza kutimua vumbi wiki ijayo,iliyofanyika mapema leo kwenye ukumbi wa Bwawani,Zanzibar.Kulia ni Meneja Masoko wa Grand Malt,Fimbo Butallah,akifuatiwa na Rais wa ZFA,Ravia Idarous (katikati) pamoja na Makamu wa Rais wa ZFA - Unguja,Haji Ameir.
Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wa Zanzibar,Mh. Said Mbarouk (wa pili kulia) akikabidhi jezi kwa Meneja wa Timu ya Jamhuri,Abdallah Mohamed (kushoto) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Timu mbali mbali zinazoshiriki Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar zinazotaji kuanza kutimua vumbi wiki ijayo,iliyofanyika mapema leo kwenye ukumbi wa Bwawani,Zanzibar.Kulia ni Meneja Masoko wa Grand Malt,Fimbo Butallah,akifuatiwa na Rais wa ZFA,Ravia Idarous (katikati) pamoja na Makamu wa Rais wa ZFA - Unguja,Haji Ameir.
Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wa Zanzibar,Mh. Said Mbarouk (wa pili kulia) akikabidhi jezi kwa Kiongozi wa Timu ya KMKM,Said Mfaume (kushoto) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Timu mbali mbali zinazoshiriki Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar zinazotaji kuanza kutimua vumbi wiki ijayo,iliyofanyika mapema leo kwenye ukumbi wa Bwawani,Zanzibar.Kulia ni Meneja Masoko wa Grand Malt,Fimbo Butallah,akifuatiwa na Rais wa ZFA,Ravia Idarous (katikati) pamoja na Makamu wa Rais wa ZFA - Unguja,Haji Ameir.
Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wa Zanzibar,Mh. Said Mbarouk (wa pili kulia) akikabidhi jezi kwa Katibu Kamati ya Waamuzi Zanzibar,Muhsin Rajab (kushoto) wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Timu mbali mbali zinazoshiriki Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar zinazotaji kuanza kutimua vumbi wiki ijayo,iliyofanyika mapema leo kwenye ukumbi wa Bwawani,Zanzibar.Kulia ni Meneja Masoko wa Grand Malt,Fimbo Butallah,akifuatiwa na Rais wa ZFA,Ravia Idarous (katikati) pamoja na Makamu wa Rais wa ZFA - Unguja,Haji Ameir.
Meza kuu ikiwa katika picha ya Pamoja na baadi ya Viongozi wa timu zitakazoshiriki Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar.
Waziri wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo wa Zanzibar,Mh. Said Mbarouk akizungumza machache wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Timu mbali mbali zinazoshiriki Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar zinazotaji kuanza kutimua vumbi wiki ijayo,iliyofanyika mapema leo kwenye ukumbi wa Bwawani,Zanzibar.
Meneja Masoko wa Grand Malt,Fimbo Butallah akijibu moja ya maswali yaliyokuwa yakiulizwa na waandishi wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Timu mbali mbali zinazoshiriki Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar zinazotaji kuanza kutimua vumbi wiki ijayo,iliyofanyika mapema leo kwenye ukumbi wa Bwawani,Zanzibar.
Makamu wa Rais wa ZFA - Pemba,Ali Mohamed akisisitiza jambo wakati wa hafla fupi ya kukabidhi vifaa vya michezo kwa Timu mbali mbali zinazoshiriki Ligi Kuu ya Grand Malt Zanzibar zinazotaji kuanza kutimua vumbi wiki ijayo,iliyofanyika mapema leo kwenye ukumbi wa Bwawani,Zanzibar.
Baadhi ya Wadau wa Michezo na waandishi wa habari wakiwa kwenye hafla hiyo,iliyofanyika mapema leo kwenye ukumbi wa Bwawani,Zanzibar.

No comments:
Post a Comment