Tanzania iliwakilishwa vyema kwenye tamasha la kila mwaka liitwalo FestAfrica lililofanyika mwishoni mwa juma huko Silver Spring Md na kuhudhuriwa na mamia ya wakazi.Pichani ni Mdau Nene ambaye ni Mtanzania aliyeongoza kamati ya maandalizi ya Tamasha hilo akijivunia kazi yake.
Maonyesho ya Mavazi ya Kiafrika yalitia fora kwenye Tamasha hilo.







Kwa picha zaidi ungana na Sundayshomari.com
No comments:
Post a Comment