HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 27, 2013

MTANZANIA DJ JO ANAYEFANYA VITU VYAKE VIKALI DMV

IMG_3808 
Dj Jo akifanya vitu vyake katika ukumbi wa Karma Lounge ambao hupiga muziki kila Ijumaa anawakaribisha wadau wote wa DMV kwenda kwenye kiota hicho cha maraha na kupunguza stress kila Ijumaa. IMG_3792DJ Jo "The CatDaddy" akifanya vitu vyake ambaye pia hupiga kwenye FM Radio maarufu Dc WKYS 93.9. IMG_3807Umati wakiruka ngoma. IMG_3811Bango la WKYS 93.9 radio anayofanya kazi Dj Jo. IMG_3813Dj Jo akiwa na captain Solomon. IMG_3810Mitambo ya Dj Jo. IMG_3815Mdau Sunday Shomari akipata wasaa wa kung'aa na Dj Jo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad