Bokhe akikata keki kama ishara ya kusherehekea siku ya kuzaliwa kwake katika hafla fupi ya chakula cha jioni iliyofanyika Kebbys Hotel Mwenge jijini Dar es salaam jana ambapo alijumuika na marafiki zake pamoja na baadhi ya ndugu zake.
Hapa akimlisha keki rafiki yake Sinta
Hapa akimlisha keki ndugu yake Getu
Akimlisha keki ndugu yake Winnie
Hapa akimlisha keki rafiki yake Sinta
Hapa akimlisha keki ndugu yake Getu
Akimlisha keki ndugu yake Winnie
Akimlisha keki rafiki yake Sauda wa Nguvu
Story kidogo kabla ya kukata keki
Bokhe kulia Winnie Kushoto na Getu wakipozi kwa picha.

No comments:
Post a Comment