Afisa mauzo wa Airtel, Bw Salehe Safi akimkabidhi Bibi Saada Omary moja ya zawadi zilizotolewa na kampuni za simu za mkononi ya Airtel kwenye kituo cha watoto yatima kinachofahamika kwa jina la Mwana Orphanage Center kilichopo Vingunguti jijini Dar es salaam. AIRTEL ilitoa sukari, mchele, mafuta, sabuni, maziwa na Unga wa ngano kwaajili ya kusheherekea sikukuu ya IDDI.
Baadhi ya watoto yatima katika kituo cha Mwana Orphanage kilichopo maeneo ya Vingunguti jijini Dar es salaam, wakiwa wameshikilia baadhi ya zawadi walizokabidhiwa na kampuni ya simu za mkoni Airtel Tanzania. AIRTEL ilitoa sukari, mchele, mafuta, sabuni, maziwa na Unga wa ngano kwaajili ya kusheherekea sikukuu ya IDDI.
No comments:
Post a Comment