Ukarabati
wa barabara ya Ipelele - Bulongwa wilayani Makete unaendelea kwa kasi
kama unavyoona hali inayohusishwa na ujio wa waziri mkuu wa Tanzania
Mizengo Pinda ambaye anatarajiwa kuja makete Julai 8 mwaka huu, na
anatarajiwa kupita kwenye barabara hii
Kazi imepamba moto kama unavyoona mpendwa msomaji
Baada ya greda kupita ndio iko hivi, je pakishindiliwa fresh, si ndio kama mkeka vileeeee
Hongera
serikali kwa kuliona hilo na kuikarabati barabara hii ambayo
inategemewa kwa kuwa ni kiunganishi kizuri cha wilaya ya Makete na mkoa
jirani wa Mbeya (Picha na Edwin Moshi, Makete)
No comments:
Post a Comment