HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, July 21, 2013

Wazee wa Feva yaangalieni sana mambo haya.....

 Katika Katiza Katiza za Libeneke lenu pendwa la Mtaa kwa Mtaa Blog,Nilibahatika kukodi Taxi kutoka sehemu moja kwenda nyingine ndani ya Mji wa Songea Mkoani Ruvuma.Wakati tukiwa kwenye Safari yetu hiyo,Mara tukafika mahala na Dereva akashuka mara moja kwenda Dukani na mie ndipo niliposhtuka mara baada ya kuona lundo la Chupa za Bia zikiwa chini ya Siti yake huku zingine zikionekana kuzagaa namna hii.Hivi hii imekaaje Wadau???
Niliamua kushuka hapo hapo na kuangalia usafiri Mwingine,na hii ndio hiyo Gari yenyewe.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad