HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, July 4, 2013

ujenzi wa tanki la maji shule ya msingi Maulu wilayani Makete upo mbioni kukamilika

Ujenzi wa tanki la kuhifadhia maji linalojengwa katika shule ya msingi Maulu kata ya Kipagalo wilayani Makete ukiendelea kwa kasi kubwa, kutokana na shule hiyo kukumbwa na uhaba wa maji hasa wakati wa kiangazi hali inayopelekea wanafunzi kupata tabu ya kujisaidia kutokana na vyoo kuwa ni vya kutumia maji. Ujenzi huo umefadhiliwa na AMREF
 Hapa mafundi wakiwa kazini kama uonavyo
 bado kidogo tuu ujenzi huo utakamilika
Jamaa akiwa jikoni mwenyewe kujipikia ugali kwa ajili yake na mafundi wenzake wanaojenga tanki hilo(Picha zote na mdau Edwin Moshi)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad