HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 13, 2013

Tigo yazindua tawi jipya la huduma kwa wateja Masaki jijini Dar

Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Bw. Diego Guiterrez (kushoto)akikata utepe kuashiria ufunguzi wa tawi jipya la huduma kwa wateja la Tigo lililofunguliwa Masaki, Dar es Salaam. Pembeni yake ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja. Bw. Zaem Khan.
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Bw. Diego Guiterrez akizungumza na waandishi wa habari na wageni walikwa (hawapo pichani) katika hafla ya uzinduzi wa tawi jipya kwa wateja la Tigo lililofunguliwa Masaki, Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Bw. Diego Guiterrez (wapili kutoka kulia) akimkabidhi kadi maalum yakujipatia huduma kwa wateja Bw. Juma Bajwala katika hafla ya uzinduzi wa tawi jipya la huduma kwa wateja la Tigo lililofunguliwa Masaki, Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Bw. Diego Guiterrez (wapili kushoto) katika picha ya pamoja na wateja wa mara kwa mara wa Tigo waliozawadiwa kadi maalum yakujipatia huduma kwa wateja katika hafla ya uzinduzi wa tawi jipya la huduma kwa wateja la Tigo lililofunguliwa Masaki, Dar es Salaam. Kutoka kushoto wateja hao ni Bw. Juma Bajwala, Bw. John Mkali na Bw. Abubakar Nyamba. Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja. Bw. Zaem Khan.
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Bw. Diego Guiterrez (kushoto) akizungumza na wafanyakazi wa Tigo tawi jipya ya huduma kwa wateja lilizozinduliwa Masaki, Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Tigo Tanzania Bw. Diego Guiterrez (kushoto) akiangalia baadhi ya bidhaa za Tigo katika uzinduzi wa tawi jipya ya huduma kwa wateja Masaki, Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad