Kili Music Tour 2013 inaendelea tena leo ndani ya Mji wa Moshi mkoani Kilimanjaro.hapa ni wadau wa walio kwenye Tour hiyo wakionyesha shangwe zao za "Kikwetu Kwetu" pindi walipokuwa wamesimama pembeni ya Mto Wami Mkoani Pwani.Hii ilikuwa ni jana wakati wa Safari ya kuelekea Moshi.
Shangwe zikiendela kwa sana tu.
Toka kushoto ni DJ Choka,Suka wa Basi,Mie wa Libeneke hili la Mtaa kwa Mtaa,Dada Ester wa Kampuni ya Frontline wanaoratibu Tour hiyo,Mkubwa wa kazi Kiboya pamoja na Mdau.
Mie nikiwa na Mdau Justin Bayo
DJ Choka kwa mbwembwe tu hajambo.
Sie hao Darajani.
Wadau wakiwa katika pozz.
Dada Ester akiwa na Mapacha ambao ni Madansa wa Msanii Snura a.k.a Majanga.
No comments:
Post a Comment