HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 1, 2013

Mgeni wetu inaelekea hata katiza kabisa mitaa hii ya kariakoo,maana hata hakujapigwa sop sop

Wakati mitaa mingine ya katikati ya Jiji la Dar es salaam, ikiendelea kuwekwa safi ikiwa ni maandalizi ya mapokezi ya Rais wa Marekani, Barack Obama, Soko la Kariakoo limesahaulika na kukithiri kwa Taka.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad