HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 6, 2013

HARAKATI ZA AKINAMAMA WA MKOA WA KILIMANJARO KUJIKWAMUA KIUCHUMI

 Tofauti na tamaduni za mikoa mingine, huku Mkoani Kilimanjaro wakinamama ndio wafanyabiashara wakubwa wa biashara za mtaani a.k.a Machinga. Kamera Yetu leo hii ilikuwa ikivinjari katika kona mbali mbali za Mji wa Moshi mjini na kushuhudia harakani mbali mbali za wakinamama hao wa mkoa huu wakiwajibika katika biashara hizo. 
 Mwanamama akipanga Biashara yake ya Mabegi.
 Hapa napo ni Biashara ya Soksi za kina Baba.
 Kina Mama hao pia wanauza Viatu vya Kinadada pia.
 Mteja na Mwanae wakiulizia Mabegi kwa Mmoja wa kina Mama wanaofanya biashara hiyo kando kando ya Barabara ya Mandela mjini Moshi.
 Viatu vya Watoto. 
 Mama akipanga mzigo.
 Yaani Kina mama wa Moshi ni wachakarikaji sana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad