HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 5, 2013

gari inapogoma kwenda safari iliyotakiwa kwenda

 Katika pita pita za Libeneke la Mtaa kwa Mtaa blog,leo lilipita eneo la Wami mkoani Pwani na kukutana na Lori hili lililogoma kuendelea na safari badala yake likataka kuyutani katikati ya barabara na kujikuta likiishia hapo lilipo.tukio hilo limetokea asubuhi ya leo na hakuna aliepata madhara ya aina yeyote kwenye tukio hilo.
 hivi ndivyo mambo yalivyokuwa huku tandiboi wa lori hilo akiwa haamini kilichotokea.
mara wadau kibao wakafika eneo la tukio.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad