Ipo siku tu.....na sisi tutafika tu, walikofika wenzetu....hata iwe miaka 10,000. Habari ni muhimu sana, ndio inafanya watu kubadilika kwa kuona dunia inakwendaje.
Asante kwa picha ya vijiji vya kwetu Tanzania....napenda sana kuona vijiji vyetu, kuliko kila siku ni picha za mijini tu.
Ipo siku tu.....na sisi tutafika tu, walikofika wenzetu....hata iwe miaka 10,000. Habari ni muhimu sana, ndio inafanya watu kubadilika kwa kuona dunia inakwendaje.
ReplyDeleteAsante kwa picha ya vijiji vya kwetu Tanzania....napenda sana kuona vijiji vyetu, kuliko kila siku ni picha za mijini tu.