HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, July 20, 2013

Mkutano Mkuu wa Simba wa kujadili maendeleo ya klabu wafanyika leo jijini dar

 Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage akifafanua jambo wakati wa Mkutano Mkuu wa Simba wa kujadili maendeleo ya klabu hiyo ulioanza saa nne kamili na kumalizika saa tano kamili katika Bwalo la Maofisa wa Polisi jijini Dar es Salaam leo, ambapo wanachama zaidi ya 700 walihudhuria mkutano huo.
 Meza kuu.
Mwanachama wa Simba kutoka Iringa akiuliza swali katika mkutano huo.
 Mwenyekiti wa zamani wa Simba, Hassan Dalali (kushoto) akifuatilia mkutano huo.
 Baadhi ya wanachama wa Simba wakiwa katika mkutano huo.
Wanachama wa Simba wakimpongeza Mwenyekiti wao, Ismail Aden Rage mara baada ya kumalizika kwa mkutano huo. 
 Wanachama wa Simba wakionyesha furaja yao kwa Mwenyekiti wao baada ya mkutano kumalizika.
Rage akisamiliana na Mwenyekiti wa zamani wa Simba Hassan Dalali baada ya kumalizika kwa mkutano.
Wanachama wa Simba wakimpongeza Rage baada ya kufunga rasmi mkutano Mkuu wa kujadili maendeleo ya klabu hiyo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad