HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, June 14, 2013

Wajasiliamali wa Safari Lager Wezeshwa kukabidhiwa vifaa vyao jumapili hii jijini Dar

 Meneja wa Bia ya Safari lager,Oscar Shelukindo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza tarehe na siku ya kukabidhi ruzuku kwa wajasiliamali waliochaguliwa kwenye mpango wa "Safari lager Wezeshwa",wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
 Jaji Mkuu wa Mchakato wa Kuwapata wajasiliamali wa Safari Lager Wezeshwa,Joseph Migunda akizungumzia ushiriki wa wajasiliamali katika zoezi hilo litakalofanyika siku ya jumapili kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam.
 Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo akionyesha sehemu ya vifaa vitakavyogaiwa kwa wajasiliamali.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad