Mtaa Kwa Mtaa Blog

Pati ya Jikoni (Kitchen Party) ya Bilaya Yassin yanoga kikweli kweli

 
 Bi. Harusi Mtarajiwa,Bilaya Yassin akiwa ni mwenye furaha isiyo kifani wakati wa hafla yake ya kupongezwa kwake (Kitchen Party) iliyofanyika kwenye ukumbi wa Utoji,Sinza jijini Dar es Salaam usiku huu.
 Bi. Harusi Mtarajiwa,Bilaya Yassin akitambulisha ndugu,jamaa na marafiki waliofika kwenye hafla hiyo.
 Bi. Harusi Mtarajiwa,Bilaya Yassin akiwa na mdogo wake,Zakhia.
 Hii ndio raha ya Pati ya jikoni,maana mtu unapewa uko ambao ndani yake kuna mkwanja na si mchele wa kupepeta.
 Shampein kaifungua mwenyeweeeeee......
 Jikeki hiloooo.
 MC Chimami ndani ya nyumba.
  Mashosti wa Bi. Harusi Mtarajiwa ndani ya nyumba.
 Utambulisho.
Madada wa Bi. Harusi Mtarajiwa.

Post a Comment

KAMERA YA MTAA KWA MTAA

[KAMERA YA MTAA KWA MTAA][carousel2]

HABARI

[HABARI][fbig1]

SHEREHE

[HARUSI][gallery1]

MKCT

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget