Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, Balozi Ali Mchumo akizindua rasmi huduma za madaktari bingwa katika Hospitali ya Mpanda mkoani Katavi jana.
Mkurugenzi wa NHIF, Emanuel Humba akitoa maelezo ya awali ya mpango huo unaoendeshwa na NHIF.
Baadhi ya Madaktari kutoka Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Taasisi ya Mifupa (MOI), Hospitali ya Rufaa Mbeya na Rukwa wakimsikiliza kwa makini Mwenyekiti wa Bodi ya NHIF.
Mkurugenzi wa Huduma za Matibabu wa NHIF, Dk. Frank Lekey aliyeambatana na timu ya madaktari hao.
Baadhi ya viongozi wa Mkoa, watumishi wa Hospitali na wananchi waliohudhuria uzinduzi huo.





No comments:
Post a Comment