HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, June 22, 2013

Malaria No More ndani ya Dodoma

Kamera ya Mtaa kwa Mtaa leo imetia nanga ndani ya Mji wa Dodoma,na katika katiza katiza zake iliibuka za kuhakikisha Libeneke lake hakilali,iliibuka Mitaa ya Majengo na kukutana na utaratibu wa kipekee katika kupiga vita Malaria kwenye Bustani zao za mboga mboga kama taswira hii inavyoonyesha.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad