HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, April 20, 2013

Tamasha la mchezo wa Rugby lafana jijini dar

Kocha kutoka Marekani Jonathan Markowitz akiwafundisha mchezo wa Rugby wanafunzi wa kutoka shule za msingi mbalimbali za Dar es Salaam katika tamasha la michezo lilofanyika viwanja vya shule ya kimataifa ya Tanganyika Aprili, 20, 2013. Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya ulinzi ya G4S.
Kocha kutoka Uingereza Ben Illingworth akiwafundisha mchezo wa Rugby wanafunzi wa kutoka shule za msingi mbalimbali za Dar es Salaam katika tamasha la michezo lilofanyika viwanja vya shule ya kimataifa ya Tanganyika Aprili, 20, 2013. Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya ulinzi ya G4S.
Wanafunzi wa kutoka shule za msingi mbalimbali za Dar es Salaam katika tamasha la michezo ya Rugby kuendeleza mchezo huu Tanzania na lilohusishwa na Bhubesi Pride kutoka Uingereza, lilofanyika viwanja vya shule ya kimataifa ya Tanganyika Aprili, 20, 2013. Tamasha hilo lilidhaminiwa na kampuni ya ulinzi ya G4S.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad