Katika katiza katiza zangu za kila siku katika kuendeleza Libeneke la Mtaa kwa Mtaa,leo nimeibukia katika eneo hili la Msalato a.k.a Mnadani Mkoani Dodoma ambapo hapa ni sehemu maarufu sana kwa uchomaji wa Nyama kama ionekanavyo pichani hapa nikisubiria kitu cha jikoni nikiwa sambamba na Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukondo.yafuatayo ni matukio mbali mbali ya eneo hilo.
Mara kamera ya Mtaa kwa Mtaa ikamnasa Mzee Phocus Laswai akicheki kitu fresh toka jikoni.
No comments:
Post a Comment