HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, April 4, 2013

Ongezeko la Watoto wa Mitaani mijini

Ongezeko la Watoto wa Mitaani mijini limekuwa likizidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele hasa baada ya watoto wengi kutumwa na wazazi wao kusimama barabarani na kuomba watu waliopo kwenye magari, kama mtoto huyo alivyonaswa na kamera yetu hivi karibuni akimuomba mmoja wa abiria aliekuwemo kwenye daladala,iliyokuwa imesimama kwenue mataa ya kuongozea magari ya barabara za Nyerere na Kawawa jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad