KUNA HALI YA HATARI SANA KATIKA ENEO LA KITUO CHA POLISI KAWE JIJINI DAR ES SALAAM HIVI SASA BAADA YA WANANCHI KUAMUA KUKIVAMIA KITUO HICHO KUTOKANA NA DEREVA MMOJA WA BAJAJ KUDAIWA KUUWAWA NA ASKARI WA JESHI LA WANANCHI AMBAYE ANASHIKILIWA NA POLISI.
KIUKWELI HALI NI MBAYA SANA ENEO HILI HIVI SASA KWANI MABOMU YA MACHOZI NA MILIO YA RISASI VIMETAWALA KATIKA ENEO HILI IKIWA NI KATIKA HALI YA KUWATAWANYA WANANCHI HAO AMBAPO WANANCHI HAO WANAENDELEA KURUSHA MAWE.
No comments:
Post a Comment