
Waokoaji wakiendelea na zoezi la uokoaji kwenye milipupo miwili iliyotokea kwenye mbio za Boston Marathon karibu mstari wa kumalizia mbio hizo na kuuwa watu waili akiwemo mtoto wa miaka 8 na kujeruhi zaidi ya watu 20. mpaka sasa hizi haijulikani nani anayehusika na milipuko hiyo.

Wakiambiaji wa marathon walionusurika kwenye milipuko hiyo wakiwa wameshangaa na wengine wamejikunyata bila kujua nini cha kufanya.

Mmoja wa majeruhi akijaribu kuwasiliana na ndugu zake.

Juu na chini majeruhi wakiingizwa kwenye gari la wagonjwa kuwahishwa hospitali kwa matibabu zaidi.


Picha kwa hisani ya Zimbio
No comments:
Post a Comment