HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 16, 2013

GRAND MALT YAZINDUA TUZO ZA “EXCEL WITH GRAND MALT 2013”

Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Consolata Adam (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Mikutano wa TBL Ilala jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutangaza tuzo za wanafunzi wa elimu ya juu zijulikanazo kama “Excel with Grand Malt”, zinazota katika Chuo mbali mbali hapa nchini ikiwa ni mwaka wa tatu mfululizo.Uzinduzi wa Tuzo hizo utaanza rasmi leo siku ya jumamosi April 20,kwenye viwanja vya Chuo kikuu Ardhi,jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Dorice Malulu.
Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL),Dorice Malulu akielezea namna Tuzo hizo zitakavyokuwa zikitolewa pamoja na kuelezea mpango wao wa kutimiza mpango wa Serikali wa kutunza Mazingira kwa Kupanda miti katika vyuo vyote.Kulia Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt,Consolata Adam.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad