HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 23, 2013

MH. LOWASSA APEWA TUZO MKOANI IRINGA

Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipokea tuzo kutoka kwa Askofu wa Kanisa la Overcomers, Dk. Boaz Sollo alipohudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa hilo na kituo cha redio mkoani Iringa,hivi karibuni.
Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akionyesha tuzo aliyopewa na Askofu wa Kanisa la Overcomers, Dk. Boaz Sollo (kushoto) alipohudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa hilo na kituo cha redio mkoani Iringa, hivi karibuni. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa,Mh. Christine Ishengoma.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad