HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 9, 2013

maporomoko yenye kuvutia ya mto Kimani wilayani Makete

mandhari ya maporomoko ya mto Kimani uliopo kata ya Mfumbi wilayani Makete, watalii wengi huja eneo hilo kutalii na kufurahia maporomoko ya mto huo. Hii sehemu ni tulivu na haina usumbufu wa aina yeyote hivyo manaopenda kuja Makete kujionea wenyewe karibuni sana.Picha na Edwin Moshi,Makete

1 comment:

  1. Hayo ndiyo mamnbo tunayihitaji kuyajua kupitia mtaa hadi kitongoiji huo ndio urithi aliotugawia manani?

    Achana na matukio ya rais, bunge, semina na makongamano kwani haya hayapo mtaani.
    Hii ni kazi nzuri inagusa wanamtaa. Endelea kupitia miradi ya maendeleo inayojengwa ovyo mtaani ionyeshe kwenye mtaa huu na utunze ushahidi, uliza wanamta wameshirikishwa au la? wanajua ni kiasi gani na lini mpango wa kukamilika mradi husika? hapo utakuwa umesaidia mtaa

    ReplyDelete

Post Bottom Ad