HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, April 17, 2013

mambo yameanza kupamba moto Miss Dar Indian Ocean 2013

 Warembo wa Kitongoji cha Dar Indian Ocean (Redd's Miss Dar Indian Ocean) wakiwa kwenye picha ya Pamoja wakati wakiwa kwenye maandalizi ya kuingia kwenye kinyang'anyiro chai kitakachofanyika April 30,kwenye Ukumbu wa Makumbusho jijini Dar.Katikati ni Mrembo anaeshikilia taji hilo kwa sasa ambaye ndie Mwalimu wa Warembo hao,Diana Hussein.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad