HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, April 23, 2013

KAMERA YA MTAA KWA MTAA NDANI YA MJI WA KAHAMA MKOANI SHINYANGA LEO

 Mji wa Kahama ni Mji ambao umechangamka sana karibu kila sehemu unayopita.watu wa huku pia wako poa sana na wasiokuwa na makuu hata kidogo.
 Bei ya kiwese leo Kahama.
 Miwa ya Kahama.
 Boda Boda na baiskeli ziko kibao na nyingi ni z kupakia abiria.
 Biashara lake Tangazo.
 Chombo kimepaki kikisubiri safari.
 mnadani.
 Vibaoni.
 Kahama pia kuna vikwangua anga vya haja.
 Bidhaa zikiwa sokoni
 Katika katiza katiza zangu zote hapa Kahama mkoani Shinyanga,sijabahatika kabisa kuwaona Kunguru na Badala yake nimekuwa nikiwaona Ndege hawa wakipiga mzigo ule ule kama wa Kunguru.
 Jamaa akimwangalia Punda alieamua kuweka pozz barabarani.
 hana hata noma kwenye,ndio kwanza kajiegesha.
 kinachofuata sasa ni Swaga zake.
 Kahama mambo mswanooo.
 Mitaro ya maji ni mikubwa na misafi hadi raha.
 Hapa ni mabenki.
 Mitaani.
 Jamaa wakisubiri abiria.
 Matunda ya kila aina yanapatikana Kahama.
 Mwanadada akienda zake sokoni.
 Onyo kali na mkwara mzito.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad