Sasa hivi imekuwa kama ni fasheni vile kuona Takataka zikiwa zimehifadhiwa namna hii katika maeneo mbali mbali ya hapa jijini,kwani kila unakokatiza basi ni lazima ukutane na lundo la taka kama ionekanavyo pichani hapa.hii ni nje ya jengo la Mikocheni Resort,iliopo Mikocheni A Kinondoni,jijini Dar.
Hivi ndivyo Mambo yalivyo.
Hapa ni pembeni ya Uwanja wa mpira wa Shule ya msingi Mikocheni A,Kinondoni jijini Dar.
No comments:
Post a Comment