Waziri
wa Serikali ya Uingereza anaeshughulika na Maswala ya Afrika, Bw. Mark
Simmonds akifafanua jambo kwa Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison
Mwkyembe(Mwenye suti Nyeusi), wakati alipomtembelea waziri Mwakyembe
ofisini kwake mwishoni mwa wiki. Kulia kwa Waziri Mwakyembe ni Balozi wa
Uingereza Tanzania, Dianna Melsone.
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe(mwenye suti nyeusi) akimuonyesha Waziri wa Uingereza anaeshughulika na Maswala ya Afrika, Bw. Mark Simmonds Miradi mbali mbali inayofadhiliwa na Serikali ya Uingereza kwa hapa Tanzania. Waziri Mwakyembe alikutana na Waziri huyo ofisni kwake kujadiliana kuhusu Usafiri wa Anga, Miradi ya Bandari na Miradi mbalimbali ya Reli mwishoni mwa wiki.
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe,akisisitiza jambo kwa Waziri wa Uingereza anaeshughulika na Maswala ya Afrika, Bw. Mark Simmonds(kushoto kwa Waziri Mwakyembe), wakati Waziri huyo alipomtembela ofisini kwake mwishoni mwa wiki kujadiliana maswala mbalimbali yanayohusu Usafiri wa Anga, Reli pamoja na bandari.
Waziri
wa Uchukuzi,Dkt. Harrison Mwakyembe akishikana mikono na Waziri wa
Uingereza anaeshughulika na Maswala ya Afrika, Bw. Mark Simmonds,
wakati alipomtembela ofisini kwake leo huu.
Waziri
wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (wa pili kutoka kulia) akiwa
katika picha ya pamoja na Waziri wa Uingereza anaeshughulika na
Maswala ya Afrika, Bw. Mark Simmonds(mwenye tai ya blue bahari), Balozi
wa Uingereza nchini Tanzania, Dianna Melsone(kushoto kwa Waziri
Mwakyembe) na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Mhandisi Omar
Chambo(Kulia kwa Waziri Mark).
No comments:
Post a Comment