Kaimu
mkurugenzi mtendaji wa taasisi ya chakula na lishe Tanzania
Bw.Benedict Jeje akichangia mada katka washa ya uongozaji wa virutubishi
kwenye vyakula kwa afya bora na jamii,washa hiyo iliandaliwa na taasisi
ya chakula na lishe(TFNC)kwa kushirikiana na taasisi isiyo ya
kiserikali ya Helen Keller International(HKI).
Mmoja
wa wanakamati wa Bunge ya uchumi na viwanda na biashara ambae ni
Mwenyekiti wa kamati ya maswala ya ukimwi kwa kikundi cha wabunge
maswala ya lishe uhakiki wa chakula na haki za watoto nchini Bi.Lediana
Mng'ong'o akitoa mada wakati wa washa ya uongozaji wa virutubishi kwenye
vyakula kwa afya bora na jamii,washa hiyo iliandaliwa na taasisi ya
chakula na lishe(TFNC)kwa kushirikiana na taasisi isiyo ya kiserikali ya
Helen Keller International(HKI)
washiriki
wa washa ya maswala ya lishe uhakiki wa chakula na haki za watoto
nchini wakiwafafanulia jambo baadhi ya washiriki ambao ni wanakamati wa
Bunge ya uchumi na viwanda na biashara washa hiyo iliandaliwa na taasisi
ya chakula na lishe(TFNC)kwa kushirikiana na taasisi isiyo ya
kiserikali ya Helen Keller International(HKI).
Baadhi ya wanakamati ya Bunge ya uchumi na viwanda na biashara ambao walihudhuria washa ya maswala ya lishe uhakiki wa chakula na haki za watoto nchini wakioneshwa jinsi virutubisho vinavyochanganywa kwenye chakula na kusagwa na Meneja raslimali watu wa kiwanda cha Azania Bw.Haji Abdallah,jinsi kinavyojishughulisha na kusindika vyakula kwa afya bora kwa jamii, washa hiyo iliandaliwa na taasisi ya chakula na lishe(TFNC)kwa kushirikiana na taasisi isiyo ya kiserikali ya Helen Keller International(HKI).
No comments:
Post a Comment