Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe(Mwenye suti nyeusi), akiteta jambo na viongozi wa Wakala wa Forodha na Uondoshaji Shehena Tanzania(TAFFA) leo wakati wa mkutano wake na Wananchama wa wakala hiyo.
Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo kwa wanachama wa wakala wa forodha na uondoshaji shehena Tanzania(TAFFA) leo Mchana wakati alipokutana nao katika ukumbi wa Karimjee.
Wananchama
wa Wakala wa Forodha na Uondoshaji Shehena Tanzania (TAFFA),
wakimsikiliza Waziri wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe (hayupo
pichani), Wakati alipokuwatana nao leo mchana katika ukumbi wa
Karimjeee. Waziri wa Uchukuzi amewaagiza wananchama hao kuhakikisha
wanawaondoa mawakala ambao wanawaharibia sifa yao.

.jpg)
No comments:
Post a Comment