HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 8, 2013

Mshindi wa Promosheni ya Tigo smart card arejea nchini leo

Mshindi wa Promosheni ya Tigo smart card,Bw. Julius Kanza amewasili nchini leo akitokea nchini Hispania alikokwenda kwa ajili ya kushuhudia mechi kati ya Real Madrid na Fc Barcelona iliyopigwa mwishoni mwa wiki iliyopita,safari yake hiyo iligharamiwa na kampuni ya simu za mkononi Tigo.pichani akionyesha jezi yenye jina la Mchezaji wa Timu ya Real Madrid,Cristiano Ronaldo mbele ya wanahabari waliofika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias K. Nyerere kushuhudia akiwasili.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad