HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, March 16, 2013

WAKAZI WA MWANZA KUJICHANA NYAMA CHOMA KESHO

SAFARI LAGER NYAMA CHOMA MWANZA FINALS
Sunday, 17 March 2013 – Kiwanja Cha Furahisha
  • Kwa mara nyingine tena, Safari Lager inakukaribisha kushuhudia mchuano wa mwisho kuona ni Bar ipi inayochoma nyama Bomba zaidi jijini Mwanza!.
  • Ni Jumapili hii tarehe 17 March, katika Kiwanja Cha Furahisha jijini Mwanza kuanzia saa 4.00asbh.
  • Njoo ushuhudie bar zilizoingia fainali Mwanza zikichuana kukupa Nyama Choma Bomba zaidi;
    • Victoria Prince Bar  Kirumba.
    • Shokeni Bar  Mkuyuni.
    • AR Pub  Kilimahewa.
    • Lunara Bar  Nyakato.
    • Shooters Bar  Kirumba.
Washindi watajipatia zawadi zaidi ya shilingi milioni nne!.
  • Njoo uburudike kwa aina tofauti za nyama choma, kuanzia mapande hadi mishkaki, nyama za Kuku, Ngombe na Mbuzi!!. Chachandu, Kachumbari, pilipili, ndimu nk.. vitakuwepo.
  • Kutakuwa na zawadi kibao kutoka Safari Lager, burudani za wasanii mbalimbali, na kufunga kazi jukwaani watakuwepo The Africana Music Band!!..
  • Tamasha la Safari Lager Nyama Choma jumapili hii pale kiwanja cha Furahisha jijini Mwanza ni BURE, hakuna Kiingilio!.
  • Bila Safari Lager, Nyama Choma Haijakamilika!!..

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad