Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Bwana Sunil Colaso Akibandika moja ya kipeperushi cha Airtel yatosha wakati wafanyakazi wa Airtel walipotembea wateja wake na kutoa elimu ya huduma zao ikiwemo Airtel Yatosha inayompa mteja, Simkadi moja, taifa moja na bei moja.
Mkurugenzi
Mkuu wa Airtel Tanzania,Sunil Colaso akiongea na meneja wa Uhusiano wa
Airtel Tanzania,Jackson Mmbando wakati wafanyakazi wa Airtel
walipotembelea wateja wao na kutoa elimu ya huduma zao ikiwemo huduma
mpya ya Airtel Yatosha inayompa mteja, Simkadi moja, taifa moja na bei
moja.
Mkurugenzi
wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania,Beatrice Singano Mallya akimpa
maelekezo ya huduma ya Airtel Yatosha mmoja wa wateja wa Airtel
alietambulika kwa jina la Juliana wakati wafanyakazi wa Airtel
walipotembelea wateja wao na kutoa elimu ya huduma zao ikiwemo huduma
mpya ya Airtel Yatosha inayompa mteja, Simkadi moja, taifa moja na bei
moja.
Afisa
Mauzo wa Airtel bi Theresia Kimaro Akiongea na wateja juu ya huduma ya
Airtel yatosha wakati Airtel walioko Magomeni na kutoa elimu juu ya
huduma mbalimbali ikiwemo ya Airtle yatosha.
Mkuu
wa Kitengo cha Mauzo na Usambazaji wa Airtel Tanzania,Godfrey Mugambi
akimsajili mtenja mpya wa Airtel,Mzee Jumanne Ally mkazi wa Namanga
Msasani wakati wafanyakazi wa Airtel walipotembea wateja wao na kutoa
elimu ya huduma zao ikiwemo ya Airtel Yatosha.
Mkurugenzi
wa kitengo cha Mauzo Mustapha Kapasi( kushoto) pamoja na Gaspa Mroso
waakiongea na wateja wakati wafanyakazi wa Airtel walipotembea wateja
wao na kutoa elimu ya huduma zao ikiwemo Airtel Yatosha.
Meneja
wa kitengo cha network, Emmanuel Luanda akisajili wateja kwenye huduma
ya Airtel Yatosha wakati wafanyakazi wa Airtel walipotembea wateja wake
na kutoa elimu ya huduma zao ikiwemo Airtel Yatosha mwishoni mwa wiki
hii.
No comments:
Post a Comment