HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 1, 2013

RAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI LEO,PIA AAGANA NA BALOZI WA UAE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu, Dar es salaam, leo Machi 1, 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi wa Umoja wa Nchi za Kifalme za Kiarabu (UAE) aliyemaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Mhe. Mallalla Mubarak Al Ameir alipoagana naye Ikulu, Dar es salaam, leo Machi 1. 2013.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Balozi wa Umoja wa Nchi za Kifalme za Kiarabu (UAE) aliyemaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Mhe. Mallalla Mubarak Al Ameir alipoagana naye Ikulu, Dar es salaam, leo Machi 1. 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Umoja wa Nchi za Kifalme za Kiarabu (UAE) aliyemaliza muda wake wa kufanya kazi nchini Mhe. Mallalla Mubarak Al Ameir alipoagana naye Ikulu, Dar es salaam, leo Machi 1. 2013.PICHA NA IKULU.

1 comment:

  1. Huyu balozi wa waarabuni ni mmatumbi mwenzetu kabisaaa...

    ReplyDelete

Post Bottom Ad